
Falsafa na Maadili ya Ualimu ni kozi inayolenga kumjengea mwalimu uelewa wa misingi ya kifalsafa, maadili na wajibu wa taaluma ya ualimu. Inamwezesha kutafakari nafasi ya mwalimu katika jamii, kufanya maamuzi yenye misingi ya kimaadili na kuzingatia viwango vya kitaaluma katika ufundishaji na malezi ya wanafunzi.
- Instructor: Lucas Mattowo