
Mawasiliano ya Kitaalamu ni somo linalomwandaa mwalimu tarajali kuwa na maarifa, stadi na mwelekeo wa kuwasiliana kwa ufanisi katika mazingira ya kitaaluma. Somo hili humwezesha kujenga mahusiano chanya, kusikiliza kwa umakini, kutumia mawasiliano ya maneno na yasiyo ya maneno, na kuunda mazingira bora ya ufundishaji na ujifunzaji.
- Instructor: Clement Chipindula