
Ualimu kwa Vitendo ni kozi inayomwandaa mwalimu tarajali kutumia maarifa na stadi alizojifunza chuoni katika mazingira halisi ya shule. Kozi hii humwezesha kuandaa na kufundisha masomo mbalimbali, kutumia mbinu anuai za kufundishia na kujifunzia pamoja na maytumizi yaTEHAMA kufundishia na kuandaa zana za kufundishia na kujifunzia, kusimamia darasa, pamoja na kufanya upimaji na tathmini kwa ufanisi.
- Instructor: Alfred Mhando
- Instructor: Admin User