
Somo la Mbinu za Ufundishaji na Ujifunzaji wa Historia ya Tanzania na Maadili ni la lazima kwa walimu tarajali wa Stashahada ya Ualimu. Huwajengea ujuzi wa kufundisha darasa la III–VI kwa ufanisi. Pia, huwapa umahiri wa kutumia teknolojia, kuzingatia masuala mtambuka, na kuwezesha wanafunzi kujadili na kufanya uchunguzi. Somo hili hutayarisha walimu kutumia maadili hayo maishani.Unaweza kusoma mtaala huu kamili au kupata maelezo zaidi kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania..
- Instructor: Telise Msongole